📘 SIMULIZI: NYAYO ZA MAMA Sehemu ya 3

📘 SIMULIZI: NYAYO ZA MAMA  Sehemu ya 3

: “SITAKUFA BILA KUSIKIKA” Mtunzi: Lipeta S Shaaban --- Wiki za kwanza shuleni hazikuwa rahisi kwa Namwaka. Alikumbana na kejeli nyingi kutoka kwa baadhi ya walimu: > “Wewe unajiona nani? Rais? Hii siyo Ikulu, ni shule!” Lakini hata matusi hayakuweza kuzima moto wa roho yake. Aliweka akilini sentensi moja tu aliyowahi kuisikia kutoka kwenye hotuba ya Mama Samia: > “Msichana akikosa nafasi ya kujiamini leo, taifa litakosa kiongozi bora kesho.” --- 🗣️ SIKU YA UAMUZI Namwaka alisimama mbele ya darasa. Moyo wake ulidunda kama ngoma ya vita. Aliwaambia wenzake: > “Sitaki sisi wasichana tuwe wa kupendwa tu. Tuwe wa kuaminiwa,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments