SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 46

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 46

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 46 Na Simulizi Za Kiswahili 0717255498 Maamuzi ambayo aliyakuchukua ni kujiua kwa kujichoma kisu katika eneo la shingo, maamuzi haya yalinisababishia mimi kusoma Al-badili kavukavu bila kujali mimi ni dini gani? Namwamini Mungu kiasi gani ila nilichotaka kumthibitishia Sammy kwamba hata mimi uchawi nauweza sema sijamaamua kuroga lakini, kwakuwa alitaka kupima kina cha maji kwa mguu basi nilimpa stahiki yake SEHEMU YA 46 Weka Like yako hapa kabla ya kuanza kusoma...... Baada ya mazishi ya Betrice nilikaa na Mama yake nikamweleza kila kitu, kuanzia siku ya kwanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments