SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 48

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 48

Na Sam Darfur 0717255498 RECAP: SEHEMU ILIYOPITA Hapa nikajikuta naingia katika mtihani maana nilitaka kuzizuia hisia kutokupenda hivyo nilijifanya kuwa rafiki yake na ndio alikuwa rafiki yangu wa kwanza tangu nifike zangu chuo ila wanasema yajayo yanafurahia. SEHEMU YA 48 Berard hakuwahi kumiliki simu, hata kula yake ilikuwa anatoka na chakula nyumbani kwao kisha anakuja nacho pale chuo huku akiwa amekihifadhi katika kidishi kidogo chenye ufuniko. Muda wa chakula unapofika basi ungemuona anajitenga kwa pembeni kuficha aibu kisha anakula. Alifanya haya sio kwa kupenda lakini hali ya uchumi kwao ilikuwa ni mtihani, sio kwamba hakuwa na pesa za boom bali

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments