SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 47

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 47

SIMULIZI YA MAISHA: NILIMUUA MAMA YANGU MZAZI ILI NIOLEWE NA BABA | EP 47 Na Sam Darfur 0717255498 RECAP: SEHEMU ILIYOPITA Nilipoingia ndani nilikoleza ubani vizuri katika moto, nikamtazama Ostadhi mkuu ambaye aliweka tabasamu “Nje kuna mtu kaja enh?” aliniuliza “Ndio, umejuaje?” “Nilihisi hilo maana hata kabla ya kuja hapa alikuja nyumbani kuniomba msamaha” “Mh! Aya soma bwana akufe mbele huko” nilisema na Ostadhi aliendeleza kisomo… SEHEMU YA 47 Unapoanza na kuweka Like kabla ya kusoma, unafanya jambo moja la muhumu sana. Ebu Like Tajiri.... Wanasema ukitaka kumuua nyani basi usimwangalie usoni bi maana kumwangalia kwako usoni kutakufanya uone chozi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments