
✍️SABABU ZA KUTOSHIKA MIMBA KWA MWANAMKE Post hii inahusu zaidi sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke, kuna kipindi ambacho mwanamke hushindwa kushika mimba kuna sababu mbalimbali mojawapo ni kama zifuatazo Sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke 1. Kutokuwa na uwiano mzuri wa homoni ambapo kwa kitaalamu huitwa hormonal imbalance, kwa hiyo ili mimba iweze kutungwa ni lazima kuwepo na usawa wa homoni yaani zote zilingane. 2. Ovari kushindwa kutoa mayai. Kuna wakati mwingine ovary hazitoi mayai hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi au tatizo lolote kwenye mfumo wa uzalishaji. 3. Kuziba kwa mirija ya uzazi ambayo kwa kitaalamu
0 Comments