Story.....................MFALME KIPOFU 8

Story.....................MFALME KIPOFU 8

Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince atatambulishwa mbele ya wananchi wote wa ADELI,Nzegi alimpata tarifa zile general". "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuwa nikiusuburi kwa miaka ishirini (20) sasa umewadia.... ENDELEA NAYO...... "Hahahahahahahaha mda ambao nilikuwa nikiusuburi kwa miaka ishirini (20) sasa umewadia" "Unamaana gani General kuongea ivyo??" "Nzegi wewe ni mlinzi wa mda mrefu katika jumba la kifalme unajua siku zenye matukio makubwa ulinzi huimalishwa sehemu moja tu katika ufalme wetu huu" "Hahahaha nimekuelewa General nasijui kwanini sikufikilia hili mapema". "Mda wangu wa kutoka gerezani umefika bora wangeniua tu kile kipindi ila kuniacha hai ni kosa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments