
Sijui ata hasira zilitoka wapi ila nilichukua maji niliyokuwa nikioshea vyombo na kumwagia. "Iiiiiiii!!!!" Aliguna baada ya kumwagia maji machafu. "Ukomee na ole wako uje unishike kiuno tena Baba Mkwe" "Umenimwagia maji Fatuma utaona labda sio mimi!" Aliongea na kuondoka. "Ishiiii atajijua huko kwanza lazima nije nimwambie Nasir ata ndoa ikivunjika sawa tu" niliongea kwa hasira huku nikiendelea kuosha vyombo. Kumbe baada ya kumwangia maji Baba Mkwe alibeba nguo zake na kuondoka, hakutaka kuniaga, aliniacha nikiendelea na kazi zangu, mida ya jioni Nasir alirudi. "Fatuma! baba yupo wapi!?" "Kaondoka!" "Mbona kaondoka bira ata kuniaga!? ata hivyo bora ameondoka ili atupe
0 Comments