
ILIPOISHIA......... Princess Herodia pasipo kufikilia aliyaamini maneno yao nakuamua kumfata Yoashi alipokuwa amesimama........ ENDELEA NAYO... "Kwanini umemuua baba yangu..!!?" Princess Herodia aliongea akiwa amemkaba Yoashi. "Mimi sijamuua Baba yako wao ndio waliomuua, naomba uamini maneno yangu" "siwezi kuamini maneno yako, hawa ni walinzi waliokuwa wakimlinda Baba yangu hawawezi kumuua Mfalme wao" Princess Herodia hukutaka kumwamini Yoashi naukizingatia ni mtu asiye mfahamu, aliamini ni mhusika wa mauaji ya baba yake. Mda huo huo aliweza kufika Princess Miriamu nakushuhudia taharuki iliyokuwepo ya Yoashi kuhusika na mauaji kitu alichokipinga Princess Miriamu. Tarifa zilimfikia karibu kila mtu za Mfalme Efroni kuuliwa na hofu ilikuwa
0 Comments