Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo

Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo

hilo la kifalme kwa njia ya siri,ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao...................... ENDELEA ............... ilikuwa ni huzuni kubwa sana kwa malikia pamoja na mfalme kutengana na mtoto wao,hawajua ni lini tena watamuona. "Mtukufu mfalme naomba tuelekee katika jumba la kifalme". Malikia andwaa aliongea baada ya kuhisi upye ndani yake sababu alimzoea sana mwanae "Ni wakati mgumu sana unaopitia malikia wangu kwa kutengana na kijana wako". "Mda mwingine kwenye maisha ni kawaida kupitia jambo usilolitarajia mfalme,ilikuwa ni lazima nitengane na Prince Yao mtukufu mfalme, Utawaambia nini watu wako utakapofika mda wa kumtambulisha prince????"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments