TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya Nne Nilipata gari na safari ilianza kutoka Makambako kwenda Morogoro

TAMU HIYO BALAAAAH  sehemu ya Nne  Nilipata gari na safari ilianza kutoka Makambako kwenda Morogoro

ilikuwa mchana wa majila kama ya saa tisa hivi ndipo gali nililo panda lilikuwa limefika stendi ya morogoro nilishuka na kumwona rafiki yake mama wao mwanangu mum heee umekuwa mkubwa wao jamani asante mama haya twende tulitoka stendi na kupanda bajaji kuelekea nyumbani kwa mama haikuchukua muda tulifika nyumbani Mum mwanangu karibu hapa ndipo nyumbani kwako sawa sawa mama Asante mama nilikaa kwenye sofa mama alinipa juice ya baridi sana hali ya hewa ya Morogoro tofauti kabisa na Makambako huku joto kali sana basi tulikuwa tunapiga story za hapa na pale ilipita kama lisaa hivi mama aliniambia mwanangu twende tunyoshe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments