GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General

,  nikagonga mlango,   nakisha  niliitikiwa: "Ingia" Nikafungua mlango na kuingia,  kisha nilimkuta muhimu General akiwa kakaa na  raptop take yupo bize kidogo mwenyewe nikamuambia: "Muheshimiwa,  nimeambiwa unaniita" "Ndio nimekuita rafiki yangu,  sasa hivi ni mtu na rafiki yake,   tafadhari niite Ethane, usiniite  muheshimiwa sawa" Aliongea huku macho bize  kwenye kazi aliyokuwa anaifanya,   kwenye raptop yake,   nilitabasam tuu  lakini niliendelea kusimama hapo,   General akaniambia: "Kaa basi kwenye kiti" Nilikaa na kisha akaniambia: "Laura sijakuona kwenye chakula,   vipi  umekula lakini? "Ndio nimekula" Nilimjibu  kwa sauti yangu ya upole,   huku nikiwa bado  sina uhakika nae,   nilikuwa namuogopa bado,   japo sio sana kama mwanzo, 

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments