
UKIONA MWANAMKE WAKO AMEACHA KULALAMIKA KUHUSU MAMBO ULIYOKUWA UNAMFANYIA JUA KUNA MAMBO HAYA: Fanya ujinga wako unavyoweza, lakini ukiona mwanamke ameacha kulalamikia mambo ambayo zamani ilikuwa ni kelele kubwa kati yenu basi jua kuwa kuna mambo kadhaa. 1) Jambo la kwanza inawezekana kuwa kashaanza kukuchoka na hajali tena. 2) Jambo la pili inawezekana ana mtu mwingine ambaye anampa amani, hata kama huyo mtu anajua hawawezi kuwa pamoja lakini angalau anafuraha kidogo na huyo mtu kuliko akiwa na wewe mume wake wa ndoa. 3) Jambo la tatu ni kwamba huyo mwanamke kashakukatia tamaa kuwa hutabadilika na kaamua kujipa furaha yake mwenyewe.
0 Comments