
_______________________________________ Nimefika chumbani nikamuuliza mtoto shida ni nini “ nimeota wamekuja kukuchukua na wewe wanataka kukuuwa… “ usijali mwanangu hio ni ndoto tu na hakuna mtu ambae anaweza kunifanyia kitu chochote maana nina amini wewe pamoja na baba yako mnanilinda, nikasema na mwanangu akanikumbatia kisha akasema “ wakija nawapiga bunduki… Basi paul alipika chai kisha tukanywa na baada ya kumaliza kunywa aliniita na kunambia kuwa ule muda wa kufunga ndoa kihalali mimi nay eye umefika, sikuwa na chaguo zaidi ya kukubali, akanambia kuwa anaenda kuangalia utaratibu wa namna harusi yetu itakavyokuwa… Basi baada ya siku kadhaa ndio ikawa siku ya
0 Comments