🌹 USHAURI WANGU KWAKO🌹 ♥️Maisha ni safari isiyo na likizo, mapenzi ni

🌹 USHAURI WANGU KWAKO🌹  ♥️Maisha ni safari isiyo na likizo, mapenzi ni

🌹 USHAURI WANGU KWAKO🌹 ♥️Maisha ni safari isiyo na likizo, mapenzi ni sayari isiyofungamana na sayari zingine duniani.🌹 🌹 Imebeba machache mazuri na Ina mengi mabaya.🌹 🌹Nakwambia mpenzi wangu,🌹 "unaposafiri ktk sayari hii lazima ukubaliane na sarakasi zote za mapenzi ziijazayo maumivu sayari hii!🌹 🌹Mpenzi wangu sipo hapa kukutisha Wala kukukatisha tamaa.... Niko hapa kukujuza baadhi ya pages za mapenzi zilizomo ktk sayari hii!💋 🌹 Mapenzi yanaua, yanaumiza, yanakera, yanapotosha, yanalemaza, yanatesa na hata kuvunja moyo!🌹🌹 🌹Ushauri wangu kwako dear; "tafakari sana kabla hujaingia ktk sayari ya mapenzi kuepuka majuto!."🌹 🌹Mwisho; "makinika sana pindi uwapo ktk mahusiano vinginevyo, utajuta kupenda!"🌹

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments