USIINGIZE KWA HUKO JAMANI! SEHEMU YA 18

USIINGIZE KWA HUKO JAMANI!  SEHEMU YA 18

***** Nilishajua kuwa kutoka ndani ya Shule hiyo ya wasichana sitoboi kwa usiku huo, ikabidi nirudi taratibu mpaka maeneo ya chooni yale kujificha maana ukuta sikujua hata niliupandaje pandaje baada ya kukimbizwa na yule mbwa kichaa, ila mti uliokuwa nje mrefu kama ukuta ulinisaidia, siku ya shida hata kama usichoweza kukifanya utajikuta unakifanya tu, ukuta ulikuwa mrefu niliutazama tu nikishindwa kutoka, nilitazama tazama nikaona kupo kimya huku mkoj💦ukiwa umenibana nikaingia chooni humo kimya kimya na kwa bahati nzuri sikuwakuta wale wasichana walikuwa wameshaondoka tayari, nikakojoa na kuanza kutoka kwa mwendo wa kunyata lakini mlangoni nikakutana na wasichana watatu uso kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments