
Meyael alimuangalia Fariss jinsi alivyokuwa anachsnganyikiwa kwaajili ya Salma. " Kwahiyo na wewe umeamua lipi kati ya kuachana nae au kumbeba pamoja na mizigo yake? " Bado nina nafasi ya kumbadilisha. Fariss alinyanyuka kwenye kiti na kuvaa kiti lake kisha akatoka ofisini. Majira ya jioni Fariss alikuwa mtaani wa saba walikuwa wamesimama kwenye kichochoro huku akiwa wameegemea ukutani pale kichochoroni waliongea kwa bashasha, walionekana kuwa na furaha isiyoelezeka. Fariss alikuwa akimshika nywele za Salma polepole huku macho yao yakitazamana kwa hisia kali. "Unajua Salma, sijawahi kufurahia company ya msichana kama yako... we ni tofauti kabisa na wanawake niliowahi kukutana nao
0 Comments