USINITANGAZE 17. ❤❤

USINITANGAZE 17. ❤❤

ENDELEA.............. "Oya kausha babu huyu ni jamaa yetu" "Kanitia hasira sana aise anamwachiaje aondoke!?" Frank aliongea kwa hasira na upande wa Suzi alikuwa tayari ameshafika anapoishi, aliingia ndani na kuvaa nguo zingine vizuri na baada ya hapo akatoka na kwenda kwa mwenyekiti wake wa mtaa akiwa na hasira balaaa!. "Mwenyekiti!" "Wewe nani uliyehapo nje?" "Toka nje haraka!" Mwenyekiti alitoka nje kumsikiliza Suzi. "Mbona unapiga makelele hivyo binti kuna tatizo?" "Tatizo lipo hapa nilipo kuna vijana wamenif**r mwenyekiti twende haraka ukawakamate uwaweke ndani!" "Heeeeee!" "Sio heeee tuondoke haraka!" "Subiri kwanza!" Mwenyekiti aliingia ndani na baada ya mda alitoka akiwa na simu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments