
Hapa nakupa Mbinu,masoko,mtaji, machimbo 📌 1. Kwa Nini Biashara ya Vifaa vya Simu Ni Nzuri? ✍️ MAHITAJI YA KUDUMU. Simu imekuwa sehemu ya maisha ya kila Mtu. Kila siku zinaharibika chaji, earphones, screen protector, na betri ✍️Soko linalokua – Tanzania ina zaidi ya 56 milioni ya watumiaji wa simu (TCRA, 2024). Hii ni guarantee ya wateja kila mahali ✍️Mtaji mdogo faida kubwa. Vifaa vidogo vinauzwa kwa bei ya chini Kariakoo lakini marupurupu yake ni makubwa. Mfano: Charger ya Tsh 3,000 Kariakoo unaweza kuuza 8,000–10,000 mtaani. ✍️Cash business Mauzo mengi yanafanyika kwa pesa taslimu, sio deni. Hii inasaidia mzunguko wa mtaji
0 Comments