VERY HANDSOME 🌸Lover boy💓💓09 na 10

VERY HANDSOME    🌸Lover boy💓💓09 na 10

Nilivyomaliza kuchati nilifuta meseji maana akina Penina huwa wanapenda kuniazima simu yangu muda mwingine sikutaka wajue kama naongeaga nae..... Usiku usingizi haukuja nilikua naona kunachelewa kukucha asubuhi ilivyofika niliamka mapema nikafanya shughuli zangu nikajiandaa nilivaa gauni langu refu zuri nikamuaga shangazi kuwa naenda kumtembelea rafiki yangu wa chuo shangazi aliniruhusu akaniambia nirudi mapema nyumbani nisichelewe.... Nilifurahi huyo nikaondoka nikaelekea stendi nikapanda hice zinazoenda banana... Nusu saa nikawa nimefika nilisimama sehemu tuliyokubaliana anikute.... Kweli nilikaa kidogo saa mbili na dakika tano akawa ameshafika sikugundua kama ni yeye maana alikuja na gari nyingine..... Angel aliniita..... Enhe kumbe ni wewe nishakariri gari yako

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments