
Acha nitafute madalali. ( Aliyekuwa mume wangu akaingia mtaani kutafuta madalali hili auze nyumba yake...bahati nzuri madalali waliweka tangazo mtandaoni na mdogo wa aliyekuwa mume wangu akaliona...kazini anakopesheka yeye ndio alikwenda kununua nyumba ya kaka yake alimpa pesa aliyotaka...na mdogo mtu akaipangisha ile nyumba...kaka mtu akaenda zake kwanza zanzibar kupunga upepo na pili komwe apunguze mawazo akirudi uku ajue anafanya biashara gani...sasa kilichomkuta baada siku nne pili komwe alipita na pesa zote akakimbia zanzibar akaenda zake mombasa kufanya yake na maisha mengine...hapo aliyekuwa mume wangu kwa mala ya kwanza toka tuachane ananipigia simu) " Mke wangu. " Koma ilo jina.
0 Comments