
VIKWAZO VYA KUKUBALI MUACHANE NA MWENZA WAKO BAADA YA KUONA MATESO, MANYANYASO NA UKATILI VIMEKITHIRI Kuna watu wengi ambao wapo kwenye mahusiano/ ndoa zenye matukio ya ukatili,vipigo, matusi, udhalilishaji lakini hawana uwezo wa kujiondoa kwenye mahusiano/ ndoa hizo, Wengine utasikia mwanaume ameua mwenza wake kwa sababu ya wivu wa mapenzi kupindukia,au utasikia Mwanamke amechoma nyumba moto na kumuua mumewe,au utasikia Mwanamke amekata nyeti za mume wake kwa sababu ya wivu wa mapenzi,au utasikia mwanaume amemchoma na kisu mkewe,au utasikia Mwanamke ang'olewa meno,au utasikia Mwanamke amemwagia mumewe maji ya moto sehemu za siri ili kumkomoa n.k Kwanini watu hufika hatua ya
0 Comments