
sana, sio kama namfumania hapana lakini nashika simu yake kukagua nikikuta namba ya mwanamke basi nitalala mika mpaka kumlazimishia akubali kuwa anachepuka naye akiniomba msamaha mimi ndiyo napata amani. Kaka nakua namfuatilia sana na wakati mwingine tunagombana kwani nawapigai simu mpaka marafiki zake kuwalaumu kuwa ndiyo wanamfundisha umalaya kitu ambacho kinamkera, nikikuta namba ya mwanamke nampigia bila kujali ni nani tunagombana. Kaka namfuatilia sana lakini cha ajabu yeye hanifuatilii, hashiki simu yangu na hajali kama nafanya nini. Nimekua nikifanya mambo kibao ili kumtia wivu lakini hajali, kuna wakati nilikua ninachart na wanaume mbele yake lakini haniulizi hivyo mimi ndiyo nilikua
0 Comments