
. Waliingia pamoja na kuangalia mishono walichagua mishono waliyokuwa wanataka na Abisal aliafikiana nayo. Baada ya hapo fundi alichukua tepu kwajili ya kuwapima. Leyla alikuwa wakwanza kupima huku Abisal na Leyna wakiendelea kuangalia picha za mishono mingine. "Huyu fundi kwa nguo za sherehe na harusi ni hodari sana alafu bei zake wala sio kubwa sana "Mmmm... Abisai alikuwa anaitumia huku alitupia jicho kuangalia jinsi Leyla alivyokuwa alipimwa. Alipoona wanaelekezana huku fundi akishika kipimo jaribu na kifua mara kiunoni akawa anagundua ndani kwa ndani. Sasa upimaji gani ule, na huyu kichaa wangu atapimwa kama vile? Alijiuliza. Baada ya Leyla kumalizwa kupimwa
0 Comments