BINAMU WEE UNGEWEZA? SEHEMU 14

BINAMU WEE UNGEWEZA?   SEHEMU 14

ENDELEA....... " Mmmmh!" Manka aliguna baada ya fungua mlango. Hawakumjali wsliingia ndani wote. Sony baada ya kuwaona wazazi wake alishtuka kidogo. "Mmefuata nini nyumbani kwangu?" Manka aliwauliza kwa makasiriko baada yabkugundua mtu waliyeongozana nae ni mtumishi wa MUNGU. "Manka hawa ni wazazi wangu kwanini unawauliza swali kama hilo?" Sony aliongea kwa unyonge. "Na wewe mbwa kelele mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa" "Ndo huyo kijana wenu?" Mchungaji aliuliza. "Ndo yeye baba, tunaomba umsaidie kijana wetu" "Ni kweli ukimuangalia t hata kwa macho ha kawaida unagundua kuwa hayupo sawa" "Jamani kuweni wastaarabu majumbani kwa watu, kwanini mnachukua sheria mkononi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments