BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 13

BINAMU WEWE UNGEWEZA?   SEHEMU 13

ENDELEA....... Manka alijifanya kupani alishtukia kapigwa kibao. "Aaaaaah! Unanipiga mimi kisa Nice?" "Huna tofauti na shetani. Kwanza toka chumbani kwangu na ikiwezekana ondoka kabisa nyumbani kwangu. Manka alipataka kuweka mgomo alitishiwa kuchakazwq sura. Usiku huo kila mmoja alilala chumba chake. Maelewana hayakuwepo tena ndani ya nyumba. Manka akimpigia simu nama yake ambaye ni shangazi yangu mimi. "Mama naona mambo yameanza kwenda sivyo" "Kwanini?" "Sijui madawa yameisha nguvu au vipi? Lakini mbona ni mapema sana" "Ebu niambie nini kimetokea" Manka alimueleza mama yake. Mama yake alimshauri kesho mapema tu aende kwa mganga. Manka alifanya hivyo kesho yake mapema tu alifika kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments