BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 15

BINAMU WEWE UNGEWEZA?  SEHEMU 15

ENDELEA.......... "Kama mimba ni yako kubali kulea mtoto. Si busara kumsusia mtoto asiye na hatia" Baba Sony aliomgea. "Waondoke mengine yatajulikana hapo badae kwa sasa sihitaji kuwaona kabisa. Wanawake wabaya sana nyie. Kwa tamaa za mali ulikuwa tayari kunifanya msukule wenu. "Sasa Sony usiku huu tunaenda wapi jamani". " basi endeleeni kukaa hapo si hamna pakwenda nisubirini. Sony aliingia chumbani kwake muda mchache alitoka akiwa na bastora mkononi. Weee walivyoona bastora mbona walitafutana 😄😄😄. Basi na ujinga wao kipindi chote walichokaa kwa Sony na malimbwata yote waliyomfanyia hakuna cha maana walichofanya wala kupata. Hela hawana nyumba hawana. Na pakwenda hawana.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments