JAMANI BOSS🥂💘 SEHEMU YA 01...02

JAMANI BOSS🥂💘 SEHEMU YA 01...02

Mimi ni Binti wa miaka 27 nimezaliwa mkoani Tanga mama yangu ni msambaa alafu baba yangu nasikia ni mpemba simjui wala sijawahi kumuona.. Nimelelewa na bibi mama aliniacha kwa bibi baada ya yeye kuolewa na baba yangu wa kambo ikabidi yeye aende akayaanze maisha mapya mimi nikabaki na bibi yangu Tanga.. Ndoto ya mama yangu ni mimi kusoma hadi chuo kikuu na nipate kazi...yeye aliishiaga njiani baada ya kubeba mimb yangu.. Mungu ni mwema sikumuangusha nilisoma hadi nikamaliza elimu ya juu na nilifaulu vizuri sana...mama alifurahi sana Baada ya kumaliza chuo shida ikabaki kwenye kupata kazi nyie nilizunguka kwenye ma

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments