FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08

FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 08

SONGA NAYO........... Nifurahi Sana kujua kuwa Julius amepiga na alikuwa akitaka kujua naendeleaje "Naweza nikaongea nae....??" Niliuliza lakini muda huo huo Julius alikata simu na kutuma sms "Kama Kuna bill zitakuwa zimeongezeka utaniambia lakini pia usimuamini huyo mwanamke " Alituma ujumbe huo kwa Ness , Ness aliishia kunitizama tu Kisha akaondoka nililia Sana niliona ni dunia chungu kiasi gani pale watu ambao unategemea upendo kwao wanakuwa wa kwanza kukutenga. Baada ya wiki moja nilipona kabisa na niliruhusiwa nilikuwa na mawazo Sana kuwa nitaenda wapi Mimi nitaishije, muonekano mbaya angu mzuri ulishaanza kupotea niliogopa hata kukutana na marafiki zangu ambao nilikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments