FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA SEHEMU YA: 09

FORGIVE ME, MOM 😭😭 NISAMEHE MAMA  SEHEMU YA: 09

SONGA NAYO......... Nikaita "Benny " Benny akuamini aliponiona nilikuwa na muonekano tofauti na wa mwanzo, kila mtu alikuwa akiniongelea wapo walionichukia gafla na kujenga wivu na chuki ya gafla. Tukaongozana mpaka kwenye viti ambavyo vilikuwa peke " Saada mbona kama siamini ninachokiona...?" "Kwanini....??" "Betty ndo amekuvesha hivi na kukwambia ubadilishe na mwendo " "Ooooh acha utani Basi nimevaa mwenyewe na kila kitu nimefanya Mwenyewe hata Betty ajaniona ila madam wenu naona ndo kachanganyikiwa kuliko ninyi" " Hi inamaanisha umekubali kabisa kufanya hi kazi mapema hivi" " Kazi gani....??" " Iliyokuleta hapa" "Kwani Kuna kazi gani hapa ...??" "Anyway tuongee mambo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments