
Tuma alifika kazini kwake akakumbuka amesahau ufunguo wa stoo Akarudi akiwa njiani akakutana na jirani yake akamwambia Tuma njoo Sikia mkeo nimemuona anaingia guest na mwanamume Heee unasema kweli Tuma alibaha yuko guest gani jirani Nionyeshe basi . Wee tuma hebu tuliza hakili kwanza usikurupuke Wako guest ya MILOGO ONE KAKA ME DADA YAKO SEHEMU YA 27 SONGA NAYOO 👇 ♥️ 👇 ♥️ .. Tuma hakili haikuwa sawa alichanganyikiwa Alifata panga lake lililopinda Kwa mbele .. hawa hawanijui wanacheza na Hakili yangu Siku ile nilisikia stori zao za kijinga Nikavunga kama hakuna kilichotokea Na leo tena live ,,, mika naomba
0 Comments