FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama SEHEMU YA: 07

FORGIVE ME, MOM 😭😭 nisamehe mama  SEHEMU YA: 07

SONGA NAYO.......... Baba alistuka na kubaki akiniangalia, nilimuuliza Tena kwa sauti ya juu Zaidi " Kwanini uliikimbia familia yako yaani kwanini ulituacha...??" "Lakini Sasa hivi SI tunakula matunda pamoja jamani..." Alijibu baba akiwa ananiangalia "Mmmh nashindwa kuelewa nahisi kuchanganyikiwa zaidi, Nani mkweli Kati ya wewe na mama , sijui nilikuwa mjinga kiasi gani kushindwa kuelewa upendo wa mama kwangu, hakuwai hata kukusema ubaya lakini baba wewe sasa, sijui niongee Nini unielewe sijui nizungumze kwa lugha gani, ukajifanya unanipenda Sana maneno kidogo ukaenda kuchoma nyumba unajua pale nilimpoteza nani? Nilipoteza Kaka na kumbukumbu zote nzuri kuhusu mama angu, ila Mimi nimpuuzi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments