MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 18

MY TRUE LOVE STORY SEHEMU YA 18

Naona niwaambie ukweli wa kila kitu, najua kuna baadhi ya vitu mnavijua na kuna baadhi ya vitu hamjavifahamu bado na mimi sina shida yoyote ile na maamuzi yenu wala maamuzi ya familia yenu na mapenzi yenu, na nitapambana sana kumuweka mke wangu sawa na atakubaliana na kila kitu ila ni swala ambalo litakuwa linahitaji mud asana… Ipo hivi “ siku moja mimi na mke wangu tulikuwa tunaenda sehemu, kuna sehemu tukafika gari letu likaharibika, na ilikuwa ni usiku wa kama saa tano hivi, tukaagiza n fundi aje, na kweli baada ya muda flani fundi alifika na baada ya kufika, akatutengenezea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments