MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI SEHEMU YA 5

MZUNGU TULIA MOYO HAUNA RANGI   SEHEMU YA 5

Sikusubiri Sada aniulize nilizama ndani ya gari nae akanifuata. "Love, kuna nini lakini?" aliniuliza baada ya kunikuta mule "Ah! da Sada jamani🤦! hii kazi balaa! dereva ebu ongeza mwendo basi!" nilisema kwa upole. Yule kijana alitabasamu kisha akalipiga gari fimbo. Punde tuliwasili hapo kazini. Tukashuka na kuanza majukumu yetu sasa. Niwe mkweli, maandazi yangu yaliopendwa sana kiasi ya kwamba nilikuwa napika hadi napika tena. Ila kulikuwa na wanaume wanakanda unga, ni mimi nawaelekeza viungo. Sasa kuna mdada akaja, Zai kama mnakumbuka alinikuta jikoni. "Love, samahani! naona una kazi lakini kuna mtu anataka kukuona" Zai alisema akiashiria kule nje "Zai nani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments