NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO

NISAMEHE MAMA 😭 SEHEMU YA: 01 ANZA NAYO

...... Mimi Ni binti wa miaka 25 na Ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto wawili, nilikuwa na mdogo wangu ambaye kwa Sasa alitakiwa kuwa na miaka 18 mdogo wangu alijulikana Kama kamili, lakini kamili alizaliwa na ugonjwa wa ukoma wa ngozi na alikuwa mlemavu alikuwa na mikono tu lakini haujaaliwa miguu na hi ndio ilikuwa sababu kubwa ya baba kutuacha na kutelekeza familia. Kamili alizaliwa nikiwa na umri wa miaka saba na nilikuwa darasa la kwanza, tulikuwa tukiishi kwenye nyumba yetu ambayo ilikuwa na vyumba viwili mjini dar es salaam maeneo ya mbagala rangi tatu, mama alikuwa muuza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments