
Nitatilewa marinda siku ya leo hakika...huyu mzee hashindwi na kutu pale aamuapo mambo yake...nilijisemea kisha nikazidi kupiga hatua. Upande wa yule mkaka nisiyemjua jina anaonekana kuamka na kurandaranda huku na kule....naweza sema alikuwa akinitafuta kumbe Nawaza kama nimemuibia au laah😀. Nilipofika nyumbani kwenyw chumba changu cha giza nikazmaa moja kwa moja chumbani,sikuona haja ya kuoga kwa siku hio niliamua kujilaza liwalo na liwe..... "Nini na wewe unanifanya"niliuliza pale nilipodamka asubuhi na kumkuta baba mwenye nyumba akihangaika kunitia nguo yangu ya ndani. "Una bahati umevaa chupi ya kitenge siku ya leo...ama laah ungekuta mimavi imejaa kutandani mwako"alizungumza.Kwa ukatili aliokuwa nao baba
0 Comments