NILIOLEWA NA WIFI YANGU KWA SIRI HADI TUKAPATA WATOTO🄰 09

NILIOLEWA NA WIFI YANGU KWA SIRI HADI TUKAPATA WATOTO🄰 09

Mume wangu aligonga mlango wa Wifi Amaira na kumuomba afungue waongee😳nilishtuka sana kuzama uvunguni. Wifi Amaira akafungua mlango lakini mume wangu Bright hakuingia ndani aliishia mlangoni. "Amaira huyu wifi yako simuelewi yani sijui usiku huu kaenda wapi?" Aliongea mume wangu. "Mh pengine atakuwa nje hebu twende tukamwangalie" alisema Amaira huku wakitoka nje kwenda kunitafuta šŸ˜žwalipotoka tu nje nami nikatoka mule uvunguni na kukimbilia chumbani. Baada ya dakika kadhaa mume wangu alirudi na kunikuta nipo kitandani nimelala "☹️we mwanamkee ulienda wapi?" akauliza mume wangu kwa kufoka. "Jamani mume wangu mbona nilikuwa uwani yani hata nilitaka kwenda haja nisiende mh?" Nilianza kuongea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments