MILELE Sehemu ya 34

MILELE Sehemu ya 34

Mwandishi:lissa mwalla Moyo wangu uliniuma sana kwa kauli zake, sikuamin ni ethan niliemjua ndio yupo hiv jmn, nilihisi ndoto kabisa lkn ndio uhalisia, nitamlaumu nani wakat kwel nimemsaliti?nikaona hapa n kujifanya mm mjinga tu, nijishushe mpaka point ya mwisho huku nikiwaza njia nzur ya kujinasua ktk hili, mana kama ni masta kweli huyu ana kundi lake ni washenz na wanaogopwa sana, nilivuta kumbukumbu kwel nilikua nikitoka na ethan watu wanamheshim na kumnyenyekea sana, mm. Nilikua ni sababu ya kaz yake nzur na pesa lkn kumbe ni mafia? Kwel nimeingia cha kiume safar hii. Nikaona acha niigize,Nilipiga magot nikema ethan nakupenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments