Ronaldinho 🇧🇷🗣"Unajua, jina langu halisi ni Ronaldo. Ronaldo pekee. Lakini huko Brazil

Ronaldinho 🇧🇷🗣"Unajua, jina langu halisi ni Ronaldo. Ronaldo pekee. Lakini huko Brazil

, mpira wa miguu ni kila kitu, na nilipofika na Timu ya Taifa kwa mara ya kwanza, niliingia kwenye chumba kilichojaa watu niliokuwa nikiwatazama kama mfano [Role model]." 🗣"Tayari kulikuwa na Ronaldo pale - na si Ronaldo [wakawaida kawaida], bali 'The Fenomenon'. 🗣"Alikuwa mkubwa, tayari, [alikuwa]mfalme, hivyo sikuweza kuingia tu na kuchukua jina hilo[Ronaldo]. Kwa sababu nilikuwa mdogo zaidi, washkaji walianza kuniita 'Ronaldinho.' [kwa Brazili , hiyo inamaanisha 'Ronaldo Mdogo.]' 🗣"Wakati huo, sikufikiria sana kuhusu hilo. Nilitaka tu kucheza. Lakini ni ajabu kufikiria sasa - kama hakukuwa na Ronaldo Nazário🇧🇷, labda ulimwengu usingesikia kamwe jina 'Ronaldinho.' Nadhani ni vizuri walinipa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments