BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA-08..9

BALAA LA NYUMBA  ZA KUPANGA-08..9

:BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA-08..9 "poa ukija badae 2taongea vzur ila hujanambia jna lako nani"(aliuliza yl meneja wa hotel) "save yuly jna lang" "ohooo una jna zuri la kihandsome kam ulivyo m naitwa maryna" "ohoo k poa nawe pia una jna zuri" "haya badae nna kazi nafanya" "sawa" baada ya kumaliza kuchat na meneja nkarud nyumban kwa bahat nzuri cjakuta m2 yeyote nkaingia ndan kisha nkajilaza na kupitiwa na usingizi :::::::::::::::::::::::::::::: "unafanya nn na umefuata nn tanga yuly kumbuka kuwa n kijana nnae kutegemea umuongoze mdgo wako sasa kwa nn umebadilka kwann" "baba maisha ya binadamu yanabadilka kila baada ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments