:BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA 13..14

:BALAA LA NYUMBA  ZA KUPANGA 13..14

:BALAA LA NYUMBA ZA KUPANGA 13..14 Ilpoishia.. nlipoangalia nyuma kwa ku2mia kioo nkaona kuna gari limeniungia nalo kwa spid kutokana na presure niliingia balabalani bla kuchukua tahadhari yoyote nlishtuka baada ya kuckia honi ya gari kubwa "mamaaa nafaaa" endelea.. Kilickika kishindo kikubwa mno kila m2 aliyekuwepo karibu na maeneo yale alishika kichwa na kuhamaki gari nililokuwepo jinc lilivyolushwa mbele na kwenda kjibamiza kwenye lory jingine kisha kupondwa na kuwa kam chapat wa2 walisogea karibu na gari nililokuwepo na kuliangalia kam kutakuwa na m2 ndani "gari mbona liko 2pu halina m2" "au lilitoka lenyewe hapana bhana damu c hiz hapa atakuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments