UTAMUU WA MABOSS ??????9

UTAMUU WA MABOSS ??????9

UTAMUU WA MABOSS ??????9 Linda aliona kukubaliana na lile hitaji la alex kutamfanya alex aache kuulizia maswala ya makeup ???????? Alex aliwasha gari wakaondoka kuelekea shopping muda wote alikuwa anawaza nini kimefanya Linda akubali ombi lake haraka vile?? Wakati Alex anawaza ya kwake linda nae alikuwa anawaza ya kwake kichwani...alikuwa anajiuliza ni kwanini Alex anataka niwe mpnz wake na bado anilipe???????? Itabidi nimuulize???????? hello aliita Linda huku akimwangalia Alex aliekuwa bize kuendesha gari.. Alex alijifanya hajisikii huku akiona raha vile Linda anavyomuita na kumtizama usoni kwake???????? "Kwanini unataka niwe mpnz wako" Linda alimuuliza Alex.. "Nilidhani hautaniuliza kwa sababu nakulipa ,"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments