
*BINTI MPELELEZI* SEHEMU YA....18 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia...... Kumfuatilia alipata uhakika kuwa Kosho wamemteka na isitoshe amesema ukweli... SONGA NAYO...... "Natakiwa kutumia dhana zangu za siri sasa kufanikisha hili. Hakuna pengine ambapo wanaweza kumteka Kosho kama sio msituni kule ngoja nitajua". Yenah aliangaza kutafuta namna ya kutoka katika kasri ile. Binti hakuwa mtu wa kawaida amepitia mafunzo ivyo ana mbinu nyingi nyingi sana kwake hakuna ambacho kilimshinda. Binti aliamua kutoka kawaida tu tena alitumia gari si alijua kuendeshwa mwenyewe. Wanamtambua sasa walinzi wote ivyo hawakumuuliza kitu. Alielekea msituni kabisa kuna njia ambazo alipita kwanza kuna mahali ambapo alikuwa amefukia
0 Comments