CHAKA LANGU Episode 1

CHAKA LANGU Episode 1

?????? ? sauti ya jogoo alisikika akiwika bila shaka ni majira ya asubuhi katika jumba la kifahari la bwana David anaonekana binti mmoja akiwa anafagia kavalia sare za wafanyakazi rangi ni nyekundu ni binti mrembo sana japo kaonekama amepauka kutokana na hali ya maisha ..... ? ?" we vicky hakikisha unafagia vizuri na jikoni sawa eeeeh " sauti ya mwanamke ilisikika bila shaka huyu ni mama mwenye nyumba ambaye alikuwa ana haraka sana .... ? ?Ghafla simu ikaita jina liliseviwa mume wangu .alipokea haraka na kusema ?"jamani baba watoto nakuja " ?" fanya haraka ujuwe tunachelewa unajiremba nini wewe muda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments