
MAPENZI NI HISIA TAAM SANA epsd 5. Akaniambia Irene nimefurahi sana huwezi amini najihisi kunakitu kizuri sana mwilini mwangu kimeingia Naomba niambie nini kupe chochote utakachosema nitakupa Nikamwambia kuwa usijali Asante wala usinipe chochote Kwasasa niachetu nijisomee maana kunamitihani kesho Chris akamwambia sawa nakuacha ila wacha niende mpenzi Aliondoka akiwa na furaha sana nilibaki nikimshangaa Nikaona niajabu sijui alifurahia nini kwakuwa sijui kitu chochote kuhusu mapenzi hivyo sikuona cha maana Niliendelea na kusoma kwangu Baada nilipomaliza kusoma nilienda bwenini kujipumzisha nilikuta kwenye kutanda changu kuna zawadi nyingi Nikawauliza wenzangu nivitu gani hivi na vyanani mbona vipo kitandani kwangu Alikuja Najma
0 Comments