JINA LANGU SHAMSA SEHEMU YA KWANZA

JINA LANGU SHAMSA SEHEMU YA KWANZA

JINA LANGU SHAMSA SEHEMU YA KWANZA “Kaka eeh, mi nasema ukweli. Yule binti ambaye hupita kila jioni saa kumi na moja... bwana wee... huyo si binadamu wa kawaida,” alisema Festo akimeza mate. "Unamzungumzia yule mwenye nguo kuvaa nguo za kupendeza hupita kila jioni, yule mwenye miwani ya kisanii?” aliuliza Twaha huku akishika kinywaji baridi alichokinunua kwa mkopo. “Huyo huyo!” walijibu wote kwa sauti moja kama wanafunzi wa darasa la tatu. Festo, ambaye hakuwa na kazi yoyote rasmi isipokuwa kuhesabu magari ya kifahari yanayopita barabarani, alikuna kidevu chake kilichojaa ndevu. “Mie nilidhani ni msanii wa Bongo Movie. Au labda ni mtoto

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments