
JIRANI ACHA UKOROFI EPISODE 01 Naitwa kelvin ni kijana wa miaka 25 naishi katika nyumba moja ya kupanga iliyopo huku ubungo maeneo ya kibo. Npambana na maisha yangu na hakuna kitu nachokijali kama maisha yangu .... Mtaani kwetu yaani sehemu tuliyopanga kuna wapangaji wengi sana . Lakini asilimia kubwa ni wanawake. wanaume tupo tupo ila wanawake ndo wengi kama nyuki ila mimi sio pigo zangu . Wapangaji wengi wanasema labda jogoo hapandi mtungi ... Lakini mimi nasemaje waje wajaribu na wakawasimulie wengine .... Hadithi inaanza majira ya jioni nikiwa gengeni nanunua vitu kwa ajili ya kujipikia
0 Comments