MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ????????

MAHABA YA MZOA TAKA 01 ???????? Kwa jina naitwa Irene ni mtoto wa pili kati ya watoto wanne tuliozaliwa kwenye familia yetu. Watoto wa kike tupo watatu na mtoto wa kiume ni mmoja tu ambae ni mdogo wetu wa mwisho. Karibu katika mkasa huu ulionikuta wa kuangukia kwenye penzi zito la mzoa taka. Siku hiyo nilikuwa chuoni mimi pamoja na wanachuo wenzangu, tulikuwa tukifurahi na kupongezana mimi pamoja na wanachuo wenzangu baada ya kumaliza kufanya mitihani yetu ya mwisho ya kuhitimu elimu yetu ya chuo kikuu. Kila mmoja wetu alikuwa kwenye furaha na kwakuwa zilibaki wiki mbili ili graduation iweze

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments