
Dangerous love ❤❤❤ 01 Anzaa nayooo......... Alionekana binti mmoja akiwa maeneo ya mtoni akichota maji alionekana ni mrembo kwelikwelii licha ya kwamba alivalia mavazi ya kujifunika Sana bado alionekana mrembo Ila kwa shida za pale kijijini kwao alionekana kuchakaa Sana kuanzia kichwani mpaka mwilini mwake Binti alipomaliza kuteka maji alijitaharisha kwaajili ya kujiweka kichwa ndipo akaja kijana mmoja na kuanza kumrushia maji na kumfanya awekee mtungi chini na kuanza kukimbizana kwenye maji hayoo Walionekana kujua vizur kwani binti hakumuogopa balii wakifrahia kucheza pamoja ndipo binti akasema " Unajua umenistua Sana " " Pole kipenzi chang " Kijana alimkiss kwenye paji
0 Comments