MJEDA NA BIKRA YANGU* *6---7* *___________

MJEDA NA BIKRA YANGU* *6---7* *___________

MJEDA NA BIKRA YANGU* *6---7* *______________________________________* *SEHEMU YA SITA* Nilitafakali sana,kapata wapi ujasili wa kumwambia mama ake mahusiano yetu, ilhali mimi sina hata wazo juu yake, niliona ni ujinga nikapotezea baba aliludi na ticket yangu, alikuwa vitu vigeni nilimwelea hakujibu lolote, niliandaa chakula tukala, tukaingia kulala, kabla sijapata usingizi vyema simu ikaita kucheki no ni Rameck... Haloo, Re wangu natamani kukuona ndio nilale unaweza washa data nikupigie video call? Niliona sasa huu usumbufu wa viwango vya lami, niilijibu sina bado ngoja niunge unipigie, "Re mke wangu naomba nikuungie mwenyewe tafadhali usikatae",sawa manake ata nikikataa najua hutokubali,basi Rameck aliniungia bando la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments