
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende. Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira. MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda,
0 Comments